Nia Kutahiniwa

sand-castle-421501_640

Kwa udi na uvumba kasimamisha nyumba. Kumbe ulimwengu kapanga yake. Upepo kapiga chafya, paa kajipata mwisho wa bahari. Jua karusha miale ya jehanamu, kuta kawachwa uchi. Mvua nalo katapika mafuriko, mawe karudi kizazini. Hata hivyo, kifo cha maono, jeneza lake nia tu.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s